Mila za kiruguru kikwazo kwa elimu

Mila za kiruguru kikwazo kwa elimu kwa watoto wa kike, huyo ni mwanafunzi wa darsa la tano alieachishwa shule na kuwekwa ndani kwaajili ya unyago

Advertisements

Mila za kiruguru bado ni changamoto kwa elimu ya watoto wa kike

Mtoto wa miaka 14 akichezwa ngoma ya kiruguru kama moja ya unyago wao ambapo aliacha shule akiwa darasa la sita

Utamaduni wa Kiruguru kikwazo cha elimu kwa watoto wa kike.

Check this

utalii unachangia pato kuwa la taifa

SEKTA ya utalii hapa nchini imekuwa ikichangia kwa kiasi kikubwa katika pato la taifa kutokana na kuwepo fulsa mbalimbali za utalii.

Hata hivyo sekta hii muhimu na nyeti bado imeonekana kutothaminiwa na kupewa umuhimu katika kuhifadhi na kulinda rasilimali zilizpo katika hifadhi mbalimbali. Read the rest of this entry

HILI PIA NI ENEO LILILOKUWA NA VIBANDA VYA MAKUTI  KATIKA CAMPU YA KIMBOZA AMBAYO  ILIOKUWA IKISIMAMIWA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MWARAZI KATA YA MKUYUNI WILAYA YA MOROGORO  KAMA INAVYOONEKANA VIBAND AHIVYO VIMEHARIBIKA KUTOKANA NA WANANCHI HAO KUITELEKEZA

JIKO LILOKUWA LIKITUMIKA KATIKA CAMPU YA KIMBOZA

HILI NDIO JIKO LILILOKUWA LIKTUMIKA KATIKA KAMBI YA KIMBOZA KAMBI AMBAYO KWA SASA IMETELEKEZWA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA MWARAZI KATA YA BMKUYUNI WILAYA YA MOROGORO BAADA YA KWA MADAI YA KUTOSHITIKISHWA NA SERIKALI KUPITAIA MALIASILI, KWA SASA JIKO HILO LIMEHARIBIKA KAMA LINAVYOONEKA

JAMANI USHORORO NI MJINI TUKIWA VIJIJINI KAZI MOJA TUU UAMUE UFIKE  BUSHI  KWA PIKIPIKI , MIGUU NA HATA BAIKSLI AU UISHIE MJINI ULIME RAMI, AKA BABU ILIMRADI MKONO UENDE KINYWANI ACHA NIWAJIBIKE MIE.

 

CHAAJABU MADEREVA WA HUKU HAWAJALI MAISHA YAO WANACHIJALI NI HELA, BADALA WAO WAVAE HELEMENTI WANAWAPA ABIRIA WAO VICHWA TUPU POLE YAO

MZEE MAARUFU KATIKA KIJIJI CHA MWARAZI AKIELEZEA HISTORIA YA MSITU WA KIMBOZA

HUYO MZEE KULIKO WOTE NI MZEE MAARUFU KATIKA KIJIJI CHA MWARAZI KATA YA MKUYUNI WILAYA YA MOROGORO MZEE MOHAMED HASAN MGALUS (72) AKIWA NA  MWENYEKITI WA KITONGOJI CHA KIBUNGO KATIKA KATA HIYO MUSA CHANDE  NA BAADHI YA WAJUMBE WA KAMATI YA BADHINGIRA KATIKA KIJIJI HICHO WAKATI AKITOA HISTORIA JUU YA MSITU HUO WA KIMBOZA ULIVYOKUWA UKIHIFADHIWA ZAMANI TOFAUTI NA SASA

mjusi huyo

MJUSI AINA YA GWENKO WILLIAMSIIS AKIWA KATIKA MTI WAKE AMBAO UNAPATIKANA KATIKA HIFADHI YA KIMBOZA, MJUSI HUYU NI ADIMU DUNIA KOTE.

KWA SASA UMEZUKA UVAMIZI NA UJANGILI WA KUVAMIA MSITU HUO WA HIFADHI NA KUIBA MIJUSI HIYO AMBAYO WANAHIFADHI KATIKA NETI MAALUMU NA KUOBABA KATIKA POCHI NA HATA VMABEGI MADOGO AMBAPO KWA HALI YA KAWAIDA NA ULINZI DUNI ULIOPO HAPA NCHI SI RAHISI,

 

MIJUSI HII IPO HATARINI KUTOWEKA KAMA SERIKALI HAITACHUKUA HATUA ZA MAKUSUDI KUIMARISHA ULIZNI KATIKA MAENEO HAYO